Saturday, July 4, 2015

CCM INA LAANA RAMADHANI YOTE HII


HAJI OMAR SHARI PIC YA JUU NA YACHINI NDIO MACHANGU DOWA WA KIHUNI ALIYO WALETA WAJE KUTEKELEZA AMRI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA YA KUWATESA NA KUWAHUJUMU WAZANZIBARI.
Gari linalotumika na watu wenye kufunika uso

Vipi CCM hamna lenu tena nchini Zanzibar.....??  Mtapiga na Kuuwa watu mpaka lini.....??  Ridhaa ya wananchi mshaikosa , nyinyi endeleni tu Kuuwa na Kutesa watu ila mujuwe na nyinyi mtakufa tu , Leo hii tumepata habari na watu wanatuambiya waziwazi hata kule walikokuwa CCM wanaringia miaka hiyo watu wamewachoka na jaza yao CCM sasa kwa hao rai wema  ni kuwapiga risasi za miguu wananchi wanyonge wenye saumu zao na kuwasababishia maumivu makubwa , Nina taka tu kuwakumbusha kuwa hakika malipo ni hapahapa duniani na akhera huenda hesabu wakubwaa,Vipi Shein upo kimyaa udhalilishaji unatokea mitaani na wewe upo kimyaa,ujue dhamana ipo juu yako japokuwa uliilazimisha sasa wajibu wako kuwaelezea wananchi juu ya hali inavyoendelea.Kuna watu wamebakwa na saumu zao chwaka kuna waloekwa vilema chumbuni na leo hii tena tunapata taarifa makunduchi risasi kama lebanon na tayari mshawaweka vilema Dimokrasia ya aina gani hii .......??  
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment