Thursday, July 2, 2015

HAJI OMAR KHERI NA WAHAUNI WAKO WAMBIYE WAONDOKE ZANZIBAR AU UPEPO UKIBADILIKA MAJI UTAITA MMAAA


HAJI OMAR SHARI PIC YA JUU NA YACHINI NDIO WAHUNI WAKE ALIYO WALETA WAJE KUTEKELEZA AMRI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA YA KUWATESA NA KUWAHUJUMI WAZANZIBARI.
Gari linalotumika na watu wenye kufunika uso
SHEIN ULISEMA WAVUNJA AMANI WATAKIONA JE HAWA WAHUNI WENU HAWAVUNJI AMANI ...??  SHEIN TUAMBIYE BASI HAWA WAHUNI WAO WATAKIONA LINI....??
Tafadhali ungana nami kulaani kitendo alichofanyiwa Mwandishi Habari Ali Muhammed na kituo cha radio cha Coconut FM kwa kuvamiwa na kundi la watu zaidi ya 20 wahuni waliobeba silaha zote ikiwa pamoja na bunduki za SMG, mapanga, marungu na misumeno ya kukatia miti na kutoa kila aina ya vitisho dhidi yake na kituo hicho kwa kukaribisha mjadala kuhusu vitendo vya kundi hilo kuingilia utaratibu wa uandikishaji uchaguzi na kumkosoa Waziri anaesimamia Vikosi vya Zanzibar ila kwa hali ilivyo sio vikosi tena vya Zanzibar bali ni vikosi vya KIHUNI vya HAJI OMAR SHARI kwa kusimamia hujuma hizo zinazofanywa wazi wazi kwa rai wema wasio na hatia yoyote na huku watu kadhaa wakijeruhiwa na kupelekekwa kuandikishwa katika vituo ambavyo hawana haki kuandikwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Hili si zuri wala halina afya kwa demokrasia ya nchi tulivu na amani kama nchi yetu ya Zanzibar na ni dalili kuwa uchaguzi hautakuwa huru na haki na vitisho kwa waandishi wa habari ni kuzuia uhuru wao.Waziri Haji Omar Kheri ambaye kundi hilo ovu lilikasirishwa kutajwa kwake hadharani na kuhusishwa ajue kuwa atahusika kikamilifu na kuwajibika kwa madhara yoyote dhidi ya mwandishi wa habari au wananchi kwa jumla.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment