Friday, July 3, 2015

NCHINI TANGANYIKA MTUME MUHAMMED S.A.W. ADHALILISHWA NA KUFANANISHWA NA EDWARD LOWASSA HIYO NDIO CCM LAANA JUU YA LAANA


Nianze na kusema astahafiruh allah pia tuungane na Waislam wote wa Tanganyika na Zanzibar na ulimwengu mzima kulaani kitendo cha mwenyekiti wa CCM mkoa wa dar es salam nchini Tanganyika Ramadhani Madabida kumfananisha Mtume Muhammad (S.A.W) na mtiania wa urais CCM Edward Lowasa..
Hii ni dhambi kubwa sana na ni laana kumfananisha mtume aliyetumwa na mwenyezi MUNGU,kitendo hiki tunakipinga kwa nguvu zote maana huu ni udhalilishaji wa mtume wetu Muhammad (S.A.W).
Huyu Ramadhani Madabida mwenyekiti wa CCM mkoa wa dar es salam nchini Tanganyika miaka miwili iliyopita alikamatwa na kushtakiwa mahakamani kwa kosa la kuingiza nchini Madawa FEKI za kuvumbaza virusi vya ukimwi ARV ambazo badala ya kuwasaidia wagonjwa wa ukimwi zilianza kuwauwa kabla ya muda wao..Hivyo basi mwenyekiti huyu wa CCM anafanya makusudi kumkosea Mwenyezi MUNGU.Tungekuwa nchi kama ilani misri au saud arabia huyu mwenyekiti wa CCM angepigwa mawe mpaka kufa maana huwezi kumfananisha mtume na lowassa aliyechangia kufanya taifa la Tanganyika kuwa maskini.
Mtume Muhammad s.a.w.  hana kashfa ya richmond kama lowassa,,,Mtume Muhammad s.a.w. hamiliki hisa kibabe vodacom kama lowassa,,Mtume Muhammad s.a.w. hakujiuzia nyumba za serikali zenye thamani ya bilion 1 kwa milioni 2 kama lowassa,,Mtume Muhmmad s.a.w. hakula pesa za mradi wa maji kama lowassa alipokuwa waziri wa maji,,mtume Muhammad s.a.w. hanunui wafuasi kama lowassa bali Mtume Muhammad s.a.w. kupitia Qur-an watu hufuata mafundisho hayo kwa hiyari zao baada ya yeye Mtume Muhammad kuwafundisha,,Mtume Muhammad s.a.w. hajawahi hata kutuhumiwa kutoa rushwa au kupokea rushwa kama lowassa anavyotuhumiwa sasa najiuliza huyu mwenyekiti wa ccm alimfananisha Mtume Muhammad s.a.w. na lowassa kwa sura,vitendo au kitu gani kama hana laana huyu mwanahizaya.....? hivi tumefikia hatua ya kumfananisha Mtume Muhammad s.a.w. na wezi walanguzi wa taifa hili la Tanganyika na Zanzibar.....? haya wasio amini kama CCM ina LAANA basi kaeni mfikiri tena na kila anaejijuwa kuwa yeye ni muislamu wa kweli na anamini siku ya malipo yani kiyama basi ikiwa umesikia habari hizi ikiwa ulikuwa CCM au unampago wa kujiuga na CCM basi ujuwe na wewe pia utajumuika nao siku ya kiyama na utaulizwa na M.Mungu juu ya udhalilishwaji wa Mtume Muhammad s.a.w. na hawa CCM na wewe ukawa umo pamoja nao.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment