Monday, July 20, 2015

VIDEO-MSIMU USHAFIKI WA KUJA KUDANGANYWA KWA BAHASHA, JAZI, MIPIRA, UPANDE WA KANGA NA VITENGE, JEMBE NA PANGA NA POROJO JINGI.

MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MJINI AKITOA SALAAM WAKATI WA KUMKARIBISHA MAGUFULI NCHINI ZANZIBAR


 WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknlojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika Pro: Makame Mnyaa Mbarawa akikabidhi zawadi kwa makamu bingwa wa michuano ya kuwania kombe la CCM jimbo la Wawi, nahoza wa timu ya Wawi star Azhar Mbarouk, fainali hiyo iliochezwa uwanja wa Gombani Chake chake Pemba, ambapo Fidel ilichukuwa ubingwa

WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknlojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika Pro: Makame Mnyaa Mbarawa akikabidhi zawadi ya ushindi bingwa wa michuano ya kuwania kombe la CCM jimbo la Wawi, nahoza wa timu ya Fidel Castro Shurubu Ali, fainali hiyo ilichezwa uwanja wa Gombani Chake 

MKE Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akitoa Mkono wa Eid kwa Wazee wa Nyumba ya Wazee Sebleni alipofika kuwatembelea jana na kutoa mkono wa Eid.


Haji Omar Kheri na Shein Mshawapa vijana wenu Eid Mubara yao kwa kazi zuri walio wafanyia Mwezi wa Ramadhani.......??   astahafiruh allah


Balozi mdogo wa nchi ya Tanganyika Balozi Seif Ali Iddi akimkamilishia Fedha zake Fundi Omar Makame Juma wa Boti aliyochonga kwa ajili ya Vijana Sita wa Kijiji cha  Fujoni walioamua kuacha matumizi ya Dawa za kulevya.


Waasisi wa mbali mbali wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi ambao umefanya uchaguzi wa kumchagua Mgombea Urais kwa nafasi ya CCM uliofanyka jana katika ukumbi mpya Makulu nje ya Mji wa Giningi Dodoma

Viongozi wa Wastaafu wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika Mkutano maalum wa Kamati Kuu ya CCM Taifa wakati wa kuteuwa wagombea watano (5) ambao wanagombea nafasi ya Urais wa Tanganyika, kikao hicho kilifanyika leo katika Makamo Makuu ya CCM Mjini Giningi Dodoma

Mke wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akitowa mkono wa Eid kwa watoto wa kijiji cha SOS akiwa na Mgombea Mweza Samiha akijumuika na Mama Shein.HAPA NDIPO ULIPOFIKISHWA ZANZIBAR MNASWALI MKISUJUDIA UTEPE WA POLISI
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment