Saturday, July 4, 2015

ASKARI WAFICHA NYUSO NA WAHUNI WA HAJI OMAR KHERI NA SHEIN WAWAPIGA RISASI WAZANZIBARI WAWILI MAKUNDUCHI


4

Gari linalotumika na watu wenye kufunika uso

2
Mpaka sasa habari zilizo tufikia nikuwa waficha uso au ninja au wahuni wa Haji Omar Shari na Shein Wamewapiga Risasa Wazanzibar wawili ambao ni Wanachama wa chama cha CUF mchana wa leo wakati wa kuandikisha kupiga kura huko Makunduchi nchini Zanzibar na kukimbizwa hospitali hatuta itaja hospitali kwa jili ya usalama wao Wazanzibari hakuna kulala hawa jamaa wakipita mtaa wowote ni Kunadiwa Wezi tu na kupewa kipigo cha nguvu watakimbia wenyewe warudi huko kwao Tanganyika ila tukika kimya basi mambo yatazidi wanapo pita si Mjini si Mashamba ni Kunadiwa Wezi tu na kupiwa kipigo tukimaliza Haji Omar Shari atakuja kubeba mili ya wahuni wao kisha atampigia simu Shein amueleze wangapi washashughulikiwa na wazenji na wangapi wamebaki.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment