Saturday, July 4, 2015

WAGOMBEA UKUU WA UFISADI NCHINI TANGANYIKA

KWA UFUPI CCM imeshatangaza kuwa itatumia vigezo 13 ilivyojiwekea kuwachambua wagombea 41 waliochukua na kurejesha fomu ili kupata majina ya wachache watakaopigiwa kura na mkutano huo mkuu, lakini Kamati ya Wazee, ambayo itatoa ushauri utakaokuwa msingi wa uamuzi wa vikao vingine na Kamati Kuu, italazimika kuangalia sifa za ziada katika kuchuja watangazania hao.

No comments:

Post a Comment