Tuesday, August 4, 2015

BREAKING NEWS LOWASA KUWA MGOMBEA WA UKAWA NA JUMA DUNI KUWA MGOMBEA MWENZA

tapatalk_1438693171072
tapatalk_1438693176524
Nikiwa kwenye tv live, akikaribishwa Lowasa kuwa mgombea wa urais kwa kupitia chadema na Juma Duni kuwa mgombea mwenza kwa ticket ya chadema na Ukawa kwa ujumla.wala msikubali kufitishwa kuwa ati chama kimoja kitamezwa hamna lolote msumari ni huo huo mpaka hawa CCM mafisadi waondoke madaraka na watu wa Tanganyika na Zanzibar wanze maisha mapya watu wamechoka na hili Zimwi CCM.
People’s power, Haki Sawa kwa wote, Nccr Mageuzi,Nld hapo hapo mpaka kieleweke
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment