Thursday, August 13, 2015

LOWASSA ITIA KIWEWE CCM MPAKA MSAFARA WAKE WAZUIWA MSIBANI CCM IMAJIIPolisi wa Mwanga mkoani Kilimanjaro wamezuia msafara wa Edward Lowassa kijiji cha Maroro Wilayani Mwanga sasa hivi akiwa ameongozana Mbatia, Ndesamburo na Augustino Mrema ukielekea msibani kwa madai kuwa wanaosindikiza msibani ni wengi sana. Msafara wa Lowassa wazuiliwa na Polisi wakati msafara wake ukielekea kwenye mazishi ya Peter Kisumo.
Leo ni siku ya mazishi ya mzee Peter Abdallah Kisumo ambae ni mwasisi na ameshika nyadhifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na uwaziri, ukuu wa mikoa na uenyekiti wa mashirika mbalimbali ya umma na mazishi yanatarajiwa kufanyika kijijini kwao Usangi katika wilaya ya Mwanga katika makaburi ya familia.
Kisumo aliaga dunia Agosti 3, 2015, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili,nchini hapa Tanganyika jijini Dar es Salaam, ambako alikuwa anapatiwa matibabu ya figo, ikiwa ni mwezi mmoja tangu arejee nchini akitokea nchini India.
Polisi wakiwa wamefunga barabara katika Kijiji
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment