Thursday, August 6, 2015

MGAO WA UMEME NCHINI ZANZIBAR MPAKA KIYAMA IKIWA TUTAENDELEA KUTEGEMEA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KWA UMEME WAKE WA BAHATISHA TURUKE


Shirika la umeme nchini Zanzibar ambalo liko chini ya Mkoloni Mweusi Tanganyika Tanesco limesema kuwa kuanzia kesho alhamis kutakua na mgao wa umeme ((lipi jipya)) wakati wa mchana utakaodumu kwa muda wa siku kumi na tano kisiwani Unguja. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika hilo imesema kuwa mgao huo utakua ni wa masaa mawili na nusu kwa laini zitakazohusika na utakuwa kwa siku za Jumanne na Alhamis.
WAZANZIBARI SIO WAKUSUMBUKA NA UMEME LAKINI WAPI CCM INAIMALIZA NCHI WAKISHIRIKIANA NA MASULTANI WEUSI TANGANYIKA MIAKA 50 UMEME NA MAJI YAMEWASHINDA KUWAPA WANANCHI KISHA MKISIMAMA KWENYE MAJUKWA MAENDELEO YA MDOMO
Taarifa hiyo imefafanua sababu ya mgao huo ni kutokana na majaribio ya kuunganishwa gridi ya taifa na mitambo ya gesi ya Kinyerezi majaribio yanayofanyika huko nchini Tanganyika kwa Masultani Weusi.
Taarifa hiyo imezidi kufafanua kuwa kutokana na majaribio hayo kutapelekea kuzimwa mitambo inayotumika sasa jambao ambalo litapelekea kupatikana kwa kiwango kidogo cha umeme.
Majaribio hayo yanatarajiwa kufanyika kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni kwa siku za Jumanne na Alhamis.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

2 comments:

  1. Pole sana hakuna mkoloni mweusi Tanganyika ninyi wazenji mnashabikia ccm ile mbaya mnaona yanayowapata? Bado katiba iliyopendekezwa mlishangilia sana

    ReplyDelete
  2. POLE NIKUPE WEWE ULIE AMKA LEO NA KUJUWA CCM SI CHAMA WAZENJI TUMEAMKA MAPEMA SANA NA KAMA SIO WAZENJI KUEKA GUMU HILO KATIBA LENU LINGEKUWA LISHAPITISHWA PIA KUMBUKA ZENJI WANA KATIBA YAO JIULIZE NYINYI KATIBA YENU IKO WAPI RUDI UKAISOME VIZURI SIASA.

    ReplyDelete