Monday, August 3, 2015

MNASHAGA NCHINI ZANZIBAR CCM WANAVYO IBIANA WENYEWE KWA WENYEWE SI WAMEJIFUNDISHA KWA MASULTANI WAO HUKO TANGANYIKA


Nchini Tanganyika Uchaguzi wa kura za maoni kupitia CCM katika jimbo la Tarime Mjini na Vijijini umeahirishwa hadi kesho baada ya kukamatwa makaratasi maalum ya kupigia kura (kura feki ) zaidi ya elfu 20 zikiwa na majina ya wagombea, Nyambare Nyangwine na Gaudencia Kabaka yakiwa tayari yameshawekewa alama ya NDIO kuonesha kura zimekubaliwa.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment