Friday, August 14, 2015

NCHINI TANGANYIKA MABALOZI 110 WA CCM WAMEKIHAMA CHAMA HICHO CHA MAFISADI,WAKANDAMIZAJI NA WAUWAJI WA WANYONGE NA MASIKINI


Nchini Tanganyika hali imezidi kuwa mbaya kwa chama cha CCM Mabalozi wa mashina mia moja na kumi wa CCM,Mwenyekiti,Katibu kata, Wajumbe wa kamati ya siasa ya kata pamoja na Wenyeviti wa mitaa minne katika kata ya Monduli mjini mkoa Arusha wamehama CCM na kuhamia Chadema.

Tukio ilo limetokea Monduli mjini jana majira ya saa sita mchana wakati viongozi hao walipo kusanyika na kutoa kauli ya kuhama CCM na kuhamia Chadema huku wakisema  chama  cha  Mapinduzi  kinaongozwa  kibabe  na  kimekosa  mwelekeo.

Kwa upande wao wenyeviti wa serikali za mitaa,wajumbe wa nyumba kumi na katibu wa CCM kata ya Monduli Anna Erinest wameitaka jamii itambue kuwa hayo ni maamuzi yao binafsi na hayahusiki na shinikizo la mtu yoyote kama inavyo daiwa na baadhi ya watu kwamba kila wanaohama hudaiwa wameshinikizwa.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment