Monday, August 17, 2015

NCHINI TANGANYIKA WANACHAMA WA CCM WAANDAMANA KUPINGA UTEUZI WA MGOMBEA UBUNGE JISHI LA POLISI MBONA HAWA CCM HAMUKUWAPIGA MABOMU NA HAWANA KIBALI CHA MANDAMANO AU WANACHO....?? POLISI SIMLISEMA MAANDAMANO HAYARUHUSIWI MBONA CCM WAMEFANYA....??

CCM00
Nchini Tanganyika Mamia ya wanachama wa chama cha mapinduzi CCM chama cha wauwaji,makatili,wakandamizaji wa maskini na mafukara leo katika wilaya ya Kibondo wameanadamana na kuvamia ofisi za chama chao hicho wakipinga mgombea aliyeshinda katika kura za maoni Jamal Abdalah kutoteuliwa na halmashauri kuu ya taifa ya CCM kuwania ubunge katika jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo.
Tukio hilo limekwenda samabamba na mwenyekiti wa zamani wa umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kigoma Edgar Mkosamali aliyegombea na kushika nafasi ya nne, kukihama chama hicho na kujiunga na chama cha ACT wazalendo, baada ya CCM kumteua Atashasta Nditiye aliyeshika nafasi ya tatu kuwania ubunge katika jimbo hilo, ambapo wanachama hao ambao hawakuridhika na maamuzi wamelazimika pia kurejesha kadi zao na kujiunga na upinzani.
Viongozi wa CCM walipata kazi ya ziada kuwatuliza wananchama hao, ambapo waliwataka kukubaliana na maamuzi ya halmashauri kuu ya taifa inayo wapeleka peleka kikoloni kikoloni tu.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment