Friday, August 14, 2015

VIDEO-PROF LIPUMBA AREJEA NCHINI TANGANYIKA HAFLA BIN VUUU BAADA YA KUKIMBIA NA KUDHANI AKIKIMBIA ATAIPARANGANYA UKAWA ((TAMAA YA KUTAKA KUWA RAISI USIPO ANGALIA UTAKUFA NAYO KIHORO))

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim
PROF LIPUMBA LOWASSA HUYOOO PROF KARIBU TENA LOWASSA HUYOOO HATA UKINUNU LOWASSA HUYOOO PROPF TULIA UGANGWE LOWASA HUYOOO HASIRA ZA NINI LOWASSA HUYOOO PROF WANACHAMA WA CUF HUKUWAWACHA LOWASSA HUYOO PROF MBALI WAMEKUWACHA WEWE LOWASSA HUYOO PROF UMOJA NI GUVU LOWASSA HUYOOO PROF USIJITIE WAHKAA LOWASSA HUYOOOO.  
Nchini Tanganyika jijini Dar es Salaam. Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahimu Lipumba alirejea nchini jana jioni akitokea Kigali, Rwanda alikokwenda kujificha akidhani kujiuzulu wadhifa huo siku nane zilizopita utathiri umoja wa wananchi Ukawa kumbe anajimwagia mafuta ya taa mwenyewe na kujiwasha mwenyewe. Profesa Lipumba aliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) saa 10.10 jioni kwa ndege ya Rwanda Air nchini Tanganyika.
Akihojiwa na Azam Tv kwa simu akiwa Kigali, siku tatu baada ya kuondoka nchini, Profesa Lipumba alisema atii alikuwa nchini humo akifanya utafiti kuona namna gani nchi ya  Tanganyika ((Tanzania)) inaweza kujifunza mambo ya kiuchumi kutokana na nchi hiyo kupiga hatua kubwa katika sekta hiyo.
Alipoulizwa jana na Mwandishi wetu hapo Airport nchini Tanganyika, Profesa Lipumba alisema akiwa huko alikuwa na mazungumzo na Bodi ya Maendeleo ya Rwanda (RDB), wadau wa masuala ya rushwa, waziri wa fedha wa nchi hiyo na makamu mwenyekiti wa Bodi ya Utawala.
“Wenzetu wamepiga hatua kubwa katika kukuza uchumi ndani ya kipindi kifupi, hivyo safari yangu ilikuwa ya kujifunza mbinu walizotumia kufikia malengo yao,” alisema.
Akizungumzia hatima yake kisiasa, licha ya kusema ataendelea kuwa mwanachama wa CUF, alisema hatashiriki kufanya kampeni kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa kuwa umoja huo umemsimamisha mwanachana wa CCM, Edward Lowassa.
“Kisiasa hatima yangu ni kama ya Mtanganyika ((Mtanzania)) mwingine yeyote, Ukawa tuna mgombea atii kutoka CCM, amehama juzi tu, pia mle ndani ya Bunge la Katiba hakuunga mkono Rasimu ya Katiba na ndiyo maana nikasema dhamira yangu inanisuta,” alisema Profesa Lipumba.
Alisema wanachama wa CUF hawana sababu ya kuona kama amewaacha kwa kuwa bado yupo nchini.
Awali, akitangaza kujiuzulu, nguli huyo wa uchumi, alisema alifikia uamuzi huo kutokana na Ukawa kumkaribisha Lowassa kugombea urais kupitia umoja huo, hivyo dhamira yake inamsuta.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment