Friday, August 7, 2015

VIDEO-KUJIUZULU KWA PROF IBRAHIM LIPUMBA UWENYEKITI WA CHAMA CHA CUF

NI HAKI YAKO KUJIUZULU MAANA SIO KULIZIMISHANA
ILA NATAKA KUKUKUMBUSHA KUWA UMOJA NI GUVU
UTENGANO NI DHAIFU PIA NATAKA KUKUKUMBUSHA TAMAA
MBAYA PIA KATIKA KUGOMBANI UKOMBOZI SILAZI UWE WEWE
NDIO JEMEDARI NA PENGINE USIWE JEMEDARI KATIKA JAMBO HILO
ILA UKOMBOZI UKIJA MBONA KUNA NAFASI NYINGI SANA AMBAZO WEWE
UNAWEZA KUWA JEMEDARI MFANO WA MWISHO SIJUWI KAMA UMESOMA
SANA DINI AU HISTORIA YA MTUME WETU MUHAMMED S.A.W. IKIWA HUKUJALI
KUISOMA BASI NAKUPA KWA UFUPI KUNA SAHABA ANAITWA KHALID BIN WALID
KABLA YAKUWA SAHABA ALIUWA WAUMINI WENGI SANA LAKINI ALIKUJA KUBADILIKA NA YEYE AKAWA MUMINI NA NDIO ALIYEKUJA KONGOZA JESHI LA WAUMINI NA KUSHINDA VITA VINGI SANA SASA WEWE JIULIZE MBONA MTUME WETU MUHAMMED S.A.W. HAKUMFUKUZA NA KUMUAMBIYA UMETUUWA SANA WEWE...? ENDELEA KUJIULIZA KWA NINI AKACHAGULIWA KUWA KIONGOZI NA KULIONGOZA JESHI NA KULIKUWA NA WAUMINI WENGI AMBAO NI WAJUZI NA WAMEKUWA VINGOZI KABLA YEYE HAJAJA LAKINI WAKAMBIWA MWACHENI AWAONGOZE...? JE WAUMINI WENGINE WALISEMA KAMA NDIO HIVYO TUNAJIUZULU AU WALIJALI USHINDI ZAIDI NDIO MUHIMU KWAO NA SIO KUWA KIONGOZI WA JUU SASA WEWE UNAJALI USHINDI AU UNAJALI KUWA KIONGOZI WA JUU...???

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

1 comment:

  1. maneno muhimu kwa professor lipumba lakini tuyakumbuke sana yaliyomkuta al marhum selemani takadir na mkataba kati serikali na maaskofu mwaka 1992 uliosimamiwa na mh, lowassa ambae kwa sasa ni kipenzi chetu sijui huko mbele itakuwaje

    ReplyDelete