Friday, August 21, 2015

WAGOMBEA URAIS WA NCHI YA TANGANYIKA NA WAGOMBEA WENZA WAO NA BAADHI YA WAGOMBEA URAISI WA NCHI YA ZANZIBAR


Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika  na Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mweza wake, Dkt. Juma Haji Duni wakiwa kwenye ofisi za Jaji wa Mahakama ya Tanganyika, Jaji Suleiman Said Komu (mbele) wakati wa kusaini fomu za hati ya Kiapo, leo Agosti 19, 2015. Kulia ni Mwanasheria wa CHADEMA, Mh. Mabele Marando.

Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi cha kutia watu umasikini na ufukara kwa miaka 50 na kuuwa watu wasio na hata kwakuwa tu hawakubaliana na wao wanavyosema, Dk. John Pombe akisaini hati ya Kiapo mapema leo mchana Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam nchini Tanganyika .Hati ambayo kila mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa kusaini katika mahakamani hapo jijini Dar es Salaam nchini Tanganyika.  Kushoto ni Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan akitia saini na kufurahia cheo hicho kwa kuwaulisha wazanzibari kwa jia ya katiba lanalopandikizwa kwa lazima sote tunajuwa umepewa cheo hicho kama asante kwa Masultani Weusi Tanganyika kwa kazi nzuri uliyo wafanyia ya katiba bovu linalotaka kupandikizwa nchini kwetu Zanzibar ili Muiyuwe Ile Katiba yetu mumechelewa mumechanguliwa ili muendelea kuwalinda mafisadi wenzenu.

Huyu Ndo Mgombea Urais nchini Tanganyika kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo baada ya Kitila Mkumbo Kukataa

fom
Mgombea wa Urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wakulima (AFP) Bw. Said Soud Said akionesha fomu za uteuzi wa wagombea baada ya kukabidhiwa na Tume ya Uchaguzi ya hapa nchini Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo tarehe17.08.2015 huko hoteli ya Bwawani Malindi Nchini Zanzibar.
DSC01128
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa nchi ya Zanzibar Mh. Jecha Firauni Jecha akimkabidhi fomu ya uteuzi wa kugombania Urais wa nchi ya Zanzibar Nd. Juma Ali Khatibu ambae ni mgombea wa Urais kwa tiketi ya chama cha TADEA, makabidhiano hayo yamefanyika leo tarehe 17.08.2015 katika ukumbi wa hoteli ya Bwawani Nchini Zanzibar .

Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar kupitia Chama cha UPDP Mhe Mwajuma Ali Khamis akionesha Fomu yake ya Kugombea Urais wa nchi ya Zanzibar baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi hapa nchini Zanzibar Mhe Jecha Firauni Jecha katika Afisi za Tume Bwawani Ukumbi wa Salama.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment