Friday, September 4, 2015

AUNT EZEKIEL,SIJAZALIWA NA CHAMA HICHO NIMEZALIWA KIJIJINI KWETU KISARAWESTAA wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘mama Cookie’ amewajia juu wanaomsema kuwa amekikacha Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kukimbilia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa hajazaliwa na chama hicho bali amezaliwa Kisarawe.

Aunt amesema kuwa hata kama huko alipo wakishindwa atakubali matokeo kwa kuwa lazima katika mchezo kuna upande utashinda na mwingine utashindwa hivyo atakubali yote.

“Ninachojua mwisho wa siku lazima kuna mshindi na mshindwa hivyo nakubali yote kwa sababu nampenda Lowassa na sijawahi kutamka kuwa mimi ni CCM kwa kuwa sijazaliwa kwenye chama hicho, nimezaliwa kijijini kwetu Kisarawe  "alisema Aunt kwa jazba na kujiamini kabisa safi sana Aunti Ezekiel.
FREE ZANZIBAR PEOPLE TUNAKUPOGEZA SANA SANA AUNT EZEKIEL NA WENGINE WOTE WANAOUNGA MKONO UKAWA KWA KUTAKA KULETA MAENDELEO YA KWELI KWA WANANCH WOTE BILA YA UBAGUZI.SIO MAENDELEO YA CCM DOMO TU MIAKA 54 PATUPU NA NCH INA UTAJIRI MKUBWA,GAS,BANDARI,AIRPORT,MBUGA ZA WANYAMA,MLIMA WA KILIMANJARO,TANZA NIGHT,THAHABU,DAIMOND,ARDHI YENYE RUTBA INA UWEZO WAKUZALISHA VYAKULA MPAKA IKAUZA NCHI ZA NJE N.K. LAKINI WAPI CCM INAWAFANYA WANANCHI WA NCHI HII WALE MLO MOJA KWA SIKU NA KUDAGANYA WATU ATII NCHI MASKINI WAO WANATOKA TU MATUMBO NA KULA BATA.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment