Friday, September 11, 2015

CCM WASHIKILIA KURA ZA URAISI ZISITANGANZWE KWENYE VITUO VYA KUPIGA KURA WEZI WAKUBWA


POMBE MAKUFULI ASHASEMA IKIWA WAPINZANI WATASHINDA NCHI ITAKUWA KAMA LIBYA KASAHAU KUWA KUNA KUSHINDA NA KUSHINDWA NA UKISHINDWA SIO UIGEUZI NCHI IWE KAMA LIBYA WEWE KWELI NI KIONGOZI AU DIKTETA HATA HAJAWA RAISI AKIWA NA MR ZANZIBAR SI NCHI PINDA NA LUKUVI ALIYE SEMA KUWA WAO TANGANYIKA NI WAKUBWA KWA HIYO LAZIMA WAITAWALE ZANZIBAR KWA SABABU ZANZIBAR NI WAISLAMU WENGI WAKIWACHIA WARABU WATARUDI NA KUANZISHA SIASA KALI WATAKUJA KUWASUMBUWA WATANGANYIKA JE HAWA WAZANZIBARI MKIWA KURA NDIO MNATARAJIA LIPI KATIKA NCHI YENU YA ZANZIBAR...??

Hakuna shaka kua CCM wanataka kufanya wizi wa kubadilisha matokeo ya kura za Uraisi kama kawaida yao wizi ndio mwao baba yake ,Hivi ni vipi matokeo ya kila kituo yanajulikana baada ya umalizikaji wa kupiga kura katika kituo husika halafu leo uambiwe usitangaze nani kashinda katika kituo na nani kashindwa na kura za uraisi kujulikana ni gapi kwa kila kituo ili kuweza kujua yupi kashinda na yupi kashindwa.
Hapa pana shaka kubwa na Serekali ya CCM kufika hadi kuwawekea mkwala wangalizi wa kimataifa kua wasitangaze takwimu wala kufika katika maeneo mengine wasio ruhusiwa . Ikiwa vyama vilivyounda Umoja wa UKAWA vitakubali ujanja na Ulahai huu Basi hakikisha jawabu ni fupi tu, watakae mtangaza ni POMBE MAKUFULI kwa nchi ya Tanganyika na kwa nchi ya Zanzibar ni huyo kibaraka wa Wakoloni Weusi Tanganyika ndie atakae tangazwa Shein kama alivyo tangazwa 2010 japo kuwa hakushinda na yeye analijwa hilo na wakisha maliza kumtangaza hapo ndipo watadili na Wangalizi wa Jumuia za Kimataifa na nchi zao na hakuna shaka jumuia za Kimataifa zita bweka tu hakuna tena litakalo badilisha matokeo.
Kuna tetesi kua siku ya upigaji kura vyombo vyote vya Ulinzi (Dola) wameshaambiwa viongozi wao kua waweze kufanya iwezekanavyo lakini Pombe Makufuli aibuke Mshindi na Sheni, Siku ya kupiga kura kutakua na vitisho na vitimbi vya kila aina lakini ikiwa Wananchi wata taka kweli Mabadiliko basi uchaguzi wa Mara hii Ulimwengu wote unaitupia Jicho Tanganyika ((Tanzania)) Zanzibar kuona hali siku ya Uchaguzi itakuwaje.......? Wananchi wa nchi ya Tanganyika na nchi ya Zanzibar mujuwe wazi kuwa Mukishindwa kuiondoa CCM madarakani Oktoba 25, Basi Musubiri tena miaka 50 mengine ndio labda itatokea tena nafasi kama hii lakini wengi wetu tutakuwa tushazeka au pengine hatupo tena duniani kamwa CCM na genge lao wataendelea kula raha zao na kujimarisha zaidi ili wazidi kuka madarakani na sisi na vizazi vyetu tutaendelea kula mlo moja na madhila ya umeme na maji kama kawaida huku tukisubiri maendeleo ya mdomo mtupu.
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment