Wednesday, September 9, 2015

CHAMA CHA WANANCHI CUF-UFUNGUZI WA KAMPENI KIBANDAMAITI
DSC_1250


DSC_1252
DSC_1252
DSC_1256
Rasmi leo Chama Cha Wananchi CUF kimezindua kampeni zake za uchaguzi 2015 hafla iliyofanyika uwanja wa Kibandamaiti jioni ya leo.
Viongozi kadhaa wa CUF pamoja na viongozi wa Ukawa wamehudhuria.
Mgeni rasmi akiwa ni Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar kupitia CUF, Maalim Seif Sharif Hamad. Pia walihudhuria Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano, Bw Edwar. Lowassa, Mgombea Mwenza wa Urais, Juma Duni Haji pamoja na wagombea kadhaa wa nafasi za Ubunge, Uwakilishi na Udiwani.
Viongozi wa vyama akiwa ni pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya uongozi CUF, Bw Twaha Taslima, Naibu Katibu Mkuu CUF,Nassor Ahmed Mazrui. Mkutano amepambwa kwa shamrashamra huku vikundi vya sanaa, muziki, vikitumbuiza. Katika ufunguzi wa kampeni, Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alivishwa koja la mauwa kisha kubonyeza kitufye kuashiria ufunguzi rasmi.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment