Friday, September 11, 2015

NCHINI TANGANYIKA MAFURIKO YA LOWASSA YANAENDELEA KIBAIGWA MKOANI DODOMA

Tangu tarehe 29 August ulipofanyika uzinduzi wa kampeni  za Ukawa,Lowassa  ameendelea kuwa gumzo  sehemu mbali mbali anapofanya  mikutano   ya  kampeni  zake.
 
Jana Sept 10,Lowassa alikuwa Mkoani Dodoma katika wilaya ya Kongwa mji mdogo Kibaigwa katika uwanja wa Amani hebu wewe mwenye macho usigoje kuambiwa tizama angali watu nyuso zao zilivyo choka kwa maisha maguu kwa uwongo wa CCM na maendeleo ya mdomo CCM sio tena chama cha wananchi bali ni chama cha kundi la watu mafya wanao wamaliza rai wote wa nchi hii ya Tanganyika na Zanzibar. pia mbona watoto wao hawajaI vumbi jekundo la udongo,mbona watoto wao hawavai suruwali na kaptula zilizo chanika matakoni na mashati au fulana zakuchanika makwapani na mIgongoni, mbona watoto wao hawanuki vikwapa kwa kuwa hawana maji ya kuoga, mbona watoto wao hawachezei vumbi na magari ya udongo, mbona watoto wao hawawashi vibatali, mbona wake zao hawaendi kuchota maji kwa madumu na ndoo kwenye vichwa vyao...??wewe rai kila baada ya maika mitano unaipigia kura CCM kuwa inakuletea mandeleo yako wapi....? mbona watoto wako wakiumwa hospitali hakuna dawa...? mbona mke wako ukimkimbiza hospitali kujifungua akiwa na mimba unambiwa hatuna hichi hatuna kile...? Tunambiwa nchi inamaendeleo yako wapi....? CCM maendeleo wamekusudia yao, wao na wake zao na mahawara wao na watoto wao wa haramu wanao zaa nje ya ndoa sio wewe mpiga kura miaka 50 na ushaiya hamna kitu mlo moja kwa siku ukibahatika,maji safi hakuna,umeme zima washa zima washa na kutunguzia vyombo vyetu mpaka lini...? Hebu badilika usiwe mjinga wakufikiri usiwe mjinga wa kuona kumbuka wengine wamezeeka,wamekufa na kusubiri maendeleo ya CCM ja na wewe unataka kuwa kama wao.....?? 
 KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment