Tuesday, September 29, 2015

NCHINI ZANZIBAR CHAMA CHA WANANCHI CUF KINAENDELEA NA KAMPENI ZAKE JIMBO LA CHONGA, CHAKECHAKE PEMBA MGOMBEA urais wa nchi ya Zanzibar kupitia chama cha CUF Mhe:Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wananchi wa Kumvini Pujini jimbo la Chonga, wakati wa Uzinduzi wa kampeni za Chama cha CUF.

WANACHAMA wa chama cha CUF na wapenda mabadiliko wakimsikiliza kwa makini Mgombea Urais kupitia chama chao wakipendacho, Maalim Seif Sharif Hamad wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kumvini Pujini, wakati wa ufunguzi wa kampeni za Jimbo la Chonga Wilaya ya Chake Chake Pemba.

KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment