Monday, September 28, 2015

NCHINI ZANZIBAR MKUTANO WA KAMPENI WA CHAMA CHA CUF MICHEWENI PEMBA MAMBO YALIKUWA HIVIIIIIIIII Katibu Mkuu wa chama cha CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa Chama cha CUF uliofanyika viwanja vya skuli ya Micheweni katika moja ya kampeni zake.Wafuasi na wapenzi wa CUF wakimsikiliza mgombea Urais wa Chama cha CUF Mhe. Maalim Seif Sharif katika viwanja vya skuli ya Micheweni.

KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment