Monday, September 28, 2015

NCHINI ZANZIBAR UZINDUZI WA KAMPENI WA CHAMA CHA CCM CHAMBANI PEMBAhii ni pic ya moja ya mkutano wa lowassa wanaotaka mageuzi ya kweli na wamechoshwa na siasa za CCM za uwongo na maendeleo ya mdomo mtupu wakibeba jeneza kuwa CCM imekufa na wanakwenda kuizika huku katika bango la jeneza hilo likisema kuwa CCM MAREHEMU AMEWACHA WATOTO WATATU UJINGA MTOTO WA KANZA,MARADHI MTOTO WA PILI NA MTOTO WA TATU UMASIKINI, MWENYE MACHO HAMBIWI TIZAMA.
VIJANA wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Chambani, Samira Amour Kombo na Maryam Mohamed Salum, wakisoma utenzi wakati wa ufungiz wa kampenzi za Ubunge na Mwakilishi wa Jimbo la Chambani, huko katika kijiji cha Matele Chambani Wilaya ya Mkoani.


 WANACHAMA wa CCM Matele Jimbo la Chambani Wilaya ya Mkoani, wakiwasikiliza wagombea Ubunge na Uwakilishi Jimbo la Chambani, ambao hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa kampenzi za CCM kwa jimbo hilo.


KATIBU wa CCM Wilaya Mkoani Abdalla Yussuf Ali, akizungumza na wanaCCM katika Ufunguzi wa Kampeni za CCM Jimbo la Chambani Huko Matele Chambani Wilaya ya Mkoani.


 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mkoani Omar Makame wa kwanza kushoto, akiwa na wagombea Ubunge  Mohamed Abrahaman Muya na mgombea Uwakilishi Bahati Khamis Kombo jimbo la Chambani, huko katika kijiji cha Matele wakati wa ufunguzi wa kampeni za Jimbo hilo.


 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mkoani Omar Makame, akieleza mikakati ya CCM yaliyomo ndani ya Ilani ya 2015/2020, aliyonayomkonini pindi Chama hicho kilivyojipanga kutekeleza baada ya kuongia madarakani.


 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mkoani Omar Makame, akimkabidhi Ilani ya CCM ya 2015/2020 Mgombea Uwakilishi Jimbo la Chambani Bahati Khamis Kombo, wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM jimbo la Chambani huko Matele.


 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mkoani Omar Makame, akimnadi Mgombea Uwakilishi Jimbo la Chambani Bahati Khamis Kombo, wakati wa ufunguzi wa Kampenzi za CCM Jimbo hilo huko Matele Chambani.


 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mkoani Omar Makame, akiwatambulisha wagombea Udiwani wadi ya Pujini Dodo na Ngwachani Salum Makame Juma na Mzee Khamis Saleh, wakati wa Uzinduzi wa KampenI ZA ccm Jimbo la Chambani huko Matele.

KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment