Wednesday, September 2, 2015

VIDEO-PICHA-NCHINI ZANZIBAR NA NCHINI TANGANYIKA UKAWA IMETAWALA WEWE UNASUBIRI NINI.....???

HEBU CHEKI HII VIDEO UZINDUKE IKIWA BADO UMELALA
MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD AKIZUNGUMZIA KATIBA LA KUPANDIKIZWA
JANGWANI JIJINI DAR ES SALAAM NCHINI TANGANYIKA
 


BIBI PIA ASHACHOKA KWA UWONGO WA CCM


LOWASSA ANATOSHA MAKOMEO YA KAZI GANI.....???

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment