Thursday, September 17, 2015

WAZI WA KURA WALIO PANGA CCM KUIBA WANASWA

1442477195982
1442477145758
1442477157246
1442477166914

Katika gazeti bora hapa nchini la leo (Mawio) limeonyesha tayari mkakati maalum wa wizi wa kura unaohusisha makepteni umekamilika. Makepteni hao tayari washapewa mafunzo kwa siku kadhaa na kusambazwa katika majimbo yote 265 ya uchaguzi nchini Katika gazeti hilo limeonyesha orodha ishatolewa na CCM ya vijana watakaopewa kazi maalum katika kila jimbo. Na wote watawajibika Makao Makuu ya CCM
Waraka huo unaonyesha kwamba “makapteni” watakuwa wanalipwa Tsh. 125,000 kwa siku.
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment