Wednesday, October 28, 2015

BREAKING NEWS-NCHINI ZANZIBAR MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZA ZEC FIRAUNI SALUM FIRAUNI AMEUKATAA UCHAGUZI NA KUTAKA URUDIWE UPYA


KWA HIYO TUME NZIMA YA UCHAGUZI IJIUZULU KWA KUSHINDWA KUSIMAMIA UCHAGUZI IKIWA NDIO MNATAKA UCHAGUZI UHAIRISHWE NA KURUDIA TENA
5f5cb4a8df0b49ff128d7b10e14225e9
Mwenyekiti wa tume ameukataa uchaguzi na kurudiwa upya.
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment