Wednesday, October 28, 2015

MADASCAR YALITOKEA HAYA HEBU TUSOME NASI TUFANYE HIVYO HIVYO IKIWA CCM INATAKA UCHAGUZI URUDIWE


KWANZA JEE KATIKA MAZINGIRA HAYA SERIKALI INAENDELEA AMA LA ?
KAMA HAINDELEI BASI IUNDWE SERIKALI YA MPITO ITAKAYOSIMAMIA UCHAGUZI
KAMA SERIKALI INAENDELEA KIKATIBA BASI KUSHIRIKI UCHAGUZI NI POLITICAL SUICIDE , CUF WASIJE KUFANYA MAKOSA TENA KAMA HAYO.
CUF WAGOMEE , LAKINI PIA WAKIGOMEA JEE CCM HAWATAENDELEA KUFANYA UCHAGUZI NA VYAMA VIDOGO ? BILA YA SHAKA WATAFANYA NA WATASHINDA NA KATIBA WATAIBADILISHA .
TUSOME HISTORIA YA MADASCAR ITASADIA , Marc Ravalomanana Alishinda uchaguzi na Rais aliekuwepo akakataa kuondoka Marc Ravalomanana kijasiri kabisa akaita wafuasi wake na kuapishwa na retired Judge na aliendela kuwa rais mpaka uchaguzi alofanya yeye miaka mitano baadae.Ushiriki wa CUF wowote wa marudio uambatane na masharti magumu ,yafuatayo kwanza CUF Wajiridhishe kama Jecha amefuta uchaguzi ule kwa hiari yake na sio kwa shinikizo na mtutu wa bunduki. Hivyo wamfungulie mashtaka ya kutaka kujua kama ilikua amri yake ama laaa.....kama alilazimishwa basi amri yake ya kufuta uchaguzi kisheria ni batili na Maalim Seif ajitangazie Urais Iundwe serikali ya mpito ya vyama vyote na Rais kutoka neatral party
Rais wa mpito aunde tume huru ya uchaguzi Aitishe uchaguzi usimamiwe na vyombo vya nje na mamlaka ya vikosi vya SMZ viwe chini yake sio chini ya CCM. Ikiwa jecha hakushikiwa mtutu wala kulazimishwa kusema vile basi yeye na tume yake wote wajiuzulu mara moja na Maalim atagazwe kuwa ndio Rais maana kashinda.malalamiko ya CCM ya watu kupiga kura mara mbili yazingatiwe na daftari lihakikiwe upya na majina yatanfazwe mwezi mmoja kabla ya uchaguzi na wale walio kuwa na haki ya kupiga kura CCM ikawazui basi wapige mara hii na walio kuwa hawana haki ya kupiga kura wasipige mara hii.
hayo ndio masharti CUF watoe.
inaezekana CCM Wasikubali na wakafanya uchaguzi kwa nguvu. …Maalimi seif anatakiwa sasa aache woga atangaze rasmi kuwa uchaguzi hauotofanyika na watauzuia kwa nguvu zote za watu wake..liwalo na liwe..
hapa ndio pa kuwabana dunia yote imeona hila hizi hivyo ni wakati wa kuutumia nafasi hii
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment