Sunday, October 25, 2015

NCHINI TANGANYIKA 6 MILLIONI NDANI YA GARI LA TUME YA UCHAGUZI LASHIKWA KATIKA KITUO CHA KUPIGA KURA ARUMERU MASHARIKI


Nchini Tanganyika Gari lilokodiwa na tume ya uchaguzi ya Wilaya ya Arumeru Mashariki  limezua utata baada ya kukutwa na kiasi cha fedha zaidi ya Sh 6 milioni. Akizungumzia sakata hilo, Msimamizi Msaidizi wa uchaguzi, kata ya Imbaseny , Jefason Mwangura ,amekiri kubeba fedha hizo kwenye gari hilo mali ya Enong’oto  na kudai atii pesa hizo  zilikuwa ni za malipo atii ya wasaidizi wa vituoni kwa ajili ya kujikimu. Alisema pia  pesa hizo kwa utaratibu ilikuwa ni kulipa wasaidizi  vituoni ili iweze kuwasaidia kujikimu wakiwa vituoni hapo .

Hata hivyo , Mwangura alisema  Mwenyekiti wa Chadema, kata ya Imbaseny  baada ya kukamata fedha hizo alikimbia nazo kusikofahamika. “Mimi nashangaa hela zimechukuliwa na aliyechukua amekimbia nazo ,” kama ilikuwa si halali wangezishika wasubiri polisi  ,”alisema Jefason Mgombea ubunge  wa jimbo la Arumeru Mashariki ,(chadema) Joshua Nasari  alizungumzia tukio hilo na kusema ni kosa kisheria kuzunguka na fedha hizo kwani kisheria ilipaswa zilipwe kabla au baada ya uchaguzi na sio wakati watu wanapiga kura au kuhisabu kura.
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment