Tuesday, October 13, 2015

NCHINI TANGANYIKA CCM WANAWIVU KAMA HAWARA ALIYEKODISHIWA CHUMBA KIMOJA ATII WAKERWA NA VIJANA KUPIGA DEKI BARABARA ILI LOWASSA APITE WASEMA NI UTUMWA CCM MBONA NYINYI OBAMA MLIPIGIA DEKI JE MLIKUWA WATUMWA.......???Mjumbe wa kamati ya kampeni ya chama cha  Mapinduzi, Christopher Ole Sendeka amelaani kitendo cha mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa kuruhusu vijana kusafisha barabara ya lami ili msafara wake upite akidai atii kuwa  huo  ni  utumwa. Ole Sendeka  alitoa  kauli  hiyo  jana  wakati  akiwa katika mkutano wa kumnadi mgombea mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan mjini Geita. Juzi mjini Musoma na jana Jijini Mwanza walijitokeza vijana na kupiga deki barabara ili Lowassa apite, wakisema hawataki apate mafua.

Sendeka jana alikemea kitendo hicho katika mikutano kadhaa mkoani Geita akisema, “Lowassa anatumia umaskini wa vijana wetu ((kwa hiyo CCM mnajuwa kuwa watu ni masiki ila hamjali kwa kuwa yenu yanawaendea vizuri ila sasa vijana wameamka mnaona tonge inatoka mdomoni ndio mnaza blabla sizizo na faida 50 lipi mumewaanyia vijana mnao waita ni umaskini wa vijana wenu..???)) kuwalipa fedha ili wamwage maji kwenye barabara ya lami kusafisha barabara msafara wake upite. Huo ni utumwa si utumwa?” aliuliza Sendeka na kujibiwa na wanaCCM kwa sauti, “Ni utumwa.”

“Namtaka Lowassa asitumie nafasi yake ya ugombea urais kudhalilisha utu wa vijana kwa sababu ya fedha zake, tena ambazo hakuzipata kihalali kuwalipa vijana wetu eti wakamsafishie barabara ya lami apite,” alisema. Sendeka alisema kitendo hicho cha aibu kuona atii matairi ya gari la Lowassa yana thamani kuliko utu wa vijana. “Kama kweli hakufadhili mpango huo wa kulipa vijana wafanye hivyo kwa nini hakuwakataza alipoona wanamwaga maji ili msafara wake upite,” alihoji.

KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment