Saturday, October 24, 2015

NCHINI TANGANYIKA MARA HII WATAKWENDA WENGI ICC NJOMBE KIMEANZA KUNUKA MABOX YA KURA FEKI YASHIKWA NA WANANCHI POLISI WAWAPIGA KWA MABOMU YA MACHOZI

IMG-20151024-WA0009

HILI NI GARI LA MABOX YA KURA FAKE LIMEKAMATWA HUKO NJOMBE NCHINI TANGANYIKA

CCM YATAKA KUANZA KAZI YAKE YA BANDIKA BANDUWA


WANANCHI WA NJOMBE WAMECHACHAMAA KUINGIZIWA KURA FEKI KATIKA JIMBO LAO KAMA UNAVYO JUWA VIBARAKA JESHI LA POLISI SI WAMEPEWA MAGARI MAPYA ATI WANAJIDAI KUTUNZA AMANI KUMBE SOTE TUNAJUWA NA KUKAMILISHI KAZI ILI CCM ISHINDE KWA GUVU KWA HIYO LAWASHAMBULIA RAI KWA MABOMU YA MACHOZI ,KWA NINI WAWASHAMBULIE WANANCHI KWANI NDIO WALIO LETE KURA FEKI...??......KURA FEKI ZIMESHIKWA KATIKA GARI LA SEREKALI SASA KWA NINI POLISI WAWAPIGE MABOMU RAI.....?? JE KOSA HAPA LITAKUWA NI LA NANI RAI WAKICHAKUFUKA NA KUANZI LA KULIANZISHA....?? HII NDIO AMANI YA CCM WALIOKUWA WAKIJIDAI KUINADI WATU WAWE WATULIVU WAO WALETE KURA FEKI.
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment