Tuesday, October 20, 2015

NCHINI TANGANYIKA-TUNDUMA HALI TETEE


IMG-20151019-WA0002
Tunduma hali tete Chadema VS CCM.
Watu wawili wamefariki mmoja kutoka Chadema na mwengine kutoka CCM baada ya kutokea vurugu. Wanachama wa CCM waliweka mawe barabarani kuwazuwia Chadema wasipite ndipo vijana wa Chadema waliposhuka kuondoa mawe njiani, akatokea kijana wa CCM nakumchoma kisu kijana wa Chadema.Hapo vijana wa Chadema wakajibu mapigo na kwa kumuua kijana huyo papo hapo.

KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment