Tuesday, October 13, 2015

NCHINI TANGANYIKA USIDHANI UNAOTA HAPANA UKO MACHO BALI NDIO HALI ILIVYO JIJINI MWANZA NI GHARIKA YA RAI WEMA WAMPENDAE LOWASSA NA KUTAKA AWE RAIS WAO


Lowassa  amelitikisa  jijini  la  Mwanza  jioni  hii  ambapo  mwandishi  wetu  ameshuhudia  zaidi  ya  watu 50  wakipoteza  fahamu  baada  ya  uwanja  huo  kujaa  kupita  uwezo  wakeKILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment