Friday, October 30, 2015

NCHINI ZANZIBAR-BREAKING NEWS- CCM ZANZIBAR NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA WAJA NA VICHEKESHO VINGINE ATI KUNA MBONO LIMETENGWA


BREAKING NEWS
BOMU LIMERIPULIWA DAKIKA HII Unguja, DARAJANI MARKITI KWENYE TRANSFORMA " CONTROLLED DETONATION" WITH NO DESTRUCTION.
Hizo ni njama za CCM wa unguja na Mkoloni Mweusi Tanganyika kutaka kuwachezea watu akili wanatafuta sababu waseme nchi haiko ktk amani jeshi la Mkoloni Mweusi Tanganyika lichukue nchi yetu kisha wamtangaze Pombe wao ndio Raisi wa nchi zote,
They are looking for the ways to declare the state of emergency...
hii ni Baruti sio bomu Mzanzibari hadanganyiki nyinyi.
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment