Thursday, October 29, 2015

NCHINI ZANZIBAR HAKUNA DEMOKRASI KUNA UTAWALA WA MKONO WA CHUMA WA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA

HAWA WAKISHANGILIA SI VIBAYA NA HULINDWA ILI WASHANGILIE VIZURI
HAWA WAKISHANGILIA HUZUIWA NA KUAMBIWA WATAWANYIKE WAKIKATA HUPINGWA NA MARUNGU,MINYORORO,MIKWAJU,RISASI NA HATA MABOMU YA MACHUZI.
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment