Monday, October 26, 2015

NCHINI ZANZIBAR HAYA NDIO MAJIMBO MANNE YALIYO TANGAZWA RASMI MPAKA SASA

JIMBO LA FUONI
SHEIN 889
MAALIM SEIF 429
JIMBO LA K SAMAKI
SHEIN 4413
MAALIM SEIF 2989
JIMBO LA MALINDI
SHEIN 2334
MAALIM SEIF 5697
JIMBO LA KWAHANI
SHEIN 2879
MAALIM SEIF 5960
JUMLA YA MAJIMBO HAYO MANNE
SHEIN 10515
MAALIM SEIF 15075
HAYA NDIO MAJIMBO MANNE YALIYO TANGAZWA RASMI JANA USIKU
HAPO KATIKA UKUMBI WA SALAMA BWAWANI.


Mimi kwa tarifa nilizo zipata ni kwamba C.U.F mpaka sasa majimbo ambayo uhakika wamesha yapata kwa maana mpaka fomu wameshapewa ni Tisa nayo ni Nungwi, Malindi, Mtopepo, Chukwani, Bumbwini, Pangawe, Mpendae, Kwerekwe na Kijini.na kwa upande wa urasi wa zanzibar kuna tetesi kuwa Maalimu anaongoza wa 69% ya kura zote Unguja na Pemba. tarifa zaidi tukizipata tutazileta hapa.

KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment