Saturday, October 17, 2015

NCHINI ZANZIBAR KUNANI-KURA ZAWASILI USIKU WA MANANE KINYUME NA ILIVYOTARAJIWA
Vifaa vya upigaji kura vikiwasili ofisi ya tume ya uchaguzi nchini Zanzibar iliyopo Chake Chake Pemba chini ya ulinzi wa jeshi la wananchi Tanganyika(JWT) tarehe 17/10/2015
Mvutano umejitokea wapi vifaa hivyo vitahifadhiwa hadi sasa
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment