Friday, October 23, 2015

NCHINI ZANZIBAR MAWAKALA WA VYAMA VYA SIASA NCHINI ZANZIBAR WAPATIWA MAFUNZO YA UCHAGUZI WILAYA MAGHARIBI

DSC03948
Msimamizi wa Uchaguzi wilaya ya Magharib ” A”  Mwalim Khamis Mussa akitoa ufafanuzi wa masuala ya uchaguzi katika semina ya mawakala wa vyama vya siasa wa vituo vya Uchaguzi  vya wilaya ya magharib A na B, semina hiyo ilfanyika tarehe 22/10/2015 skuli ya Mwanakwerekwe “C” Mjini nchini Zanzibar. Aidha, Mwalim Khamis aliwataka mawakala hao kufuata sheria na kanuni za uchaguzi pamoja na maelekezo ya Tume ya Uchaguzi na badala yake waache maneno ya wanasiasa ili kuwa na Uchaguzi huru na wa amaniDSC03966Msaidizi Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mwera Ndg. Juma Moh’d akitoa mafunzo kwa mawakala wa vyama vya siasa ambao watasimamia mwenendo wa Uchaguzi katika vituo vya Kupigia Kura vya wilaya ya Magharib A na B, mafunzo hayo yalitolewa skuli ya Mwanakwerekwe “C” tarehe 22/10/2015.DSC03946
Mawakala kutoka vyama vya siasa ambavyo vitashiriki katika Uchaguzi Mkuu wa nchi ya Zanzibar wakiwa katika mafunzo ya uchaguzi ambayo yalitolewa na Tume ya Uchaguzi ya nchi ya Zanzibar Wilaya ya Magharib A na B Tarehe 22/10/2015 skuli ya mwanakwerekwe “C” nchini Zanzibar.
Mafunzo hayo ya mawakala wa vyama vya Siasa yalifanyika kwa wilaya zote Unguja na Pemba ili kuhakiksha Uchaguzi unakuwa huru na haki.
 KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment