Friday, October 23, 2015

NCHINI ZANZIBAR MKUTANO WA CCM WA KUFUNGA KAMPENI PEMBA KATIKA UWANJA WA GOMBANI YAKALE


Rais wa Jamhuri ya Tanganyika pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Kikwete akisalimiana na Viongozi wa CCM wakati alipowasili katika uwanja wa Gombani yakale katika ufungaji wa kampeni za CCM Kisiwani Pemba jana,Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Shein akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Tanganyika Kikwete wakati alipowasili katika uwanja wa Gombani yakale katika ufungaji wa kampeni za CCM Kisiwani Pemba janaMwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Shein akisalimiana na Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Tanganyika Samia  wakati alipowasili katika uwanja wa Gombani yakale jana katika ufungaji wa kampeni za CCM Kisiwani Pemba,(kulia) Mke wa Balozi mdogo wa nchi ya Tanganyika Balozi Mkazi Asha Suleiman IddiMwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Tanganyika Kikwete akisalimiana na Mama Fatma Karume wakati wa mkutano wa kufunga kampeni ya Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar Shein, iliofanyika katika viwanja vya gombani ya kale Chakechake Pemba.


Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Shein akiteta jambo na Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Tanganyika Mama Samia wakati mkutano wa ufungaji wa kampeni za CCM Kisiwani Pemba katika uwanja wa Gombani yakale jana. Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Tanganyika kupitia CCM Samia akizungumza na wanachama wa cha Mapinduzi CCM  na wananchi wa Kisiwani Pemba nchini Zanzibar wakati alipokuwa akiomba kura pamoja na kuwaombea wagombea wengine wa CCM akiwemo Mgombea Urais wa jamhuri ya Tanganyika Pombe Magufuli katika mkutano wa kufunga kampeni za Chama hicho uliofanyika katika uwanja wa Gombani yakale.
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Shein akiwahutubia wanachama wa cha Mapinduzi CCM  na wananchi wa Kisiwani Pemba katika mkutano wa kufunga kampeni za Chama hicho katika uwanja wa Gombani yakale leo pamoja na kuwaomba kura wananchi pia na kuwaombea Kura wagombea wa Chama hicho,Rais wa Jamhuri ya Tanganyika pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Kikwete akizungumza na wanachama wa cha Mapinduzi CCM  na wananchi wa Kisiwani Pemba katika mkutano wa kufunga kampeni za Chama hicho katika uwanja wa Gombani yakale   na kuwaombea kura wagombea wote wa CCM,

 KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment