Thursday, October 15, 2015

NCHINI ZANZIBAR MKUTANO WA KAMPENI ZA KUGOMBEA URAIS KWA TICKETI YA CCM JIMBO LA CHWAKA


Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Shein akisalimiana na viongozi wa CCM wakatii alipowasili Jimbo la Chwaka katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa mpira Kijiji cha Chwaka wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.


Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Shein akisalimiana na viongozi wa CCM wakatii alipowasili Jimbo la Chwaka katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa mpira Kijiji cha Chwaka, wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,


SHEIN GEUKA NYUMA UMUONE HUYO MLINZI WAKO ANAVYO IPIGA CHABO HIYO KARATASI YAKO UNAYO ISOMA DUUUUH NOMA ILE MBAYA

LIMEKUWA NI JUMBA TU KAMA LA MAKUBUSHO


KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment