Wednesday, October 28, 2015

NCHINI ZANZIBAR SABABU YAKUWA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR ZEC NA CCM HAWATAKI KUTANGAZA MATOKEO YA URAISI NI HII.


KURA ZOTE ZA URAIS ZANZIBAR HIZI APA: Kaskazini A - majimbo ya Chaani, Kijini, Mkwajuni, Tumbatu na Nungwi
CUF 17,234 CCM 19,781
Kaskazini B - majimbo ya Donge, Bumbwini, Kiwengwa na mahonda
CUF 6.370 CCM 14,931
Kati - majimbo ya Chwaka, tunguu na Uzini
CUF6,809 CCM 23,597
Kusini - majimbo ya Makunduchi na paje
CUF 4,048 CCM13,746
Magharibi A - majimbo ya Bububu, mtoni, Mfenesini, Mto pepo na Mwera
CUF15,873 CCM 19,957
Magharibi B - majimbo ya Dimani, Fuoni, Kiembe Samaki, Chukwani, Mwanakwerekwe, Pangawe, Kijito Upele
CUF 19,280 CCM 25, 076
Mjini - majimbo Amani, Chumbuni, Jang'ombe, Kikwajuni, kwahani, Shauimoyo, Magombeni, Malindi, na Mpendae
CUF 35,151 CCM 44,519
Weete - majimbo ya Gando, Kojani, Mtambwe, Mgogoni na Wete
CUF 31,197 CCM 3,518
Micheweni - majimbo ya Konde, Micheweni, Tube, na Wingwi
CUF 20,969 CCM 2,893
Chake Chake - majimbo ya Chake Chake, Chonga, ole, Wawi, na Ziwani
CUF 24,831 CCM 5,059
Mkoani - majimbo ya Chambani, Kiwani, Mkoani, na Mtambile
CUF 22,467 CCM 5,132
Total Votes
CUF 204,229 53.25%
CCM 179,309 46.75%

KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment