Thursday, October 29, 2015

NCHINI ZANZIBAR UBALOZI WA UINGEREZA PAMOJA NA IRELAND YA KASKAZINI WAPINGA UCHAGUZI MKUU WA ZANZIBAR KUFUTWA


SIO KILA SIKU SIO IJUMAA KUNA JUMAA TANO,JUMAA TATU AU PIA JUMAA PILI
Ubalozi wa Uingereza nchini Tanganyika pamoja na Ireland Kaskazini umetoa taarifa ukipinga kufutiliwa mbali kwa matokeo ya Uchaguzi kisiwani Zanzibar.
Ubalozi huo umesema kuwa hauoni sababu za kufutiliwa mbali kwa matokeo hayo ilhali waangalizi walifurahishwa na vile uchaguzi huo ulivyofanyika kwa amani.
Wameitaka tume ya uchaguzi Kiswani Zanzibar kuorodhesha matokeo hayo bila kuchelewa.
----------------------------
PRESS STATEMENT
Thursday 29 October, 2015

United Kingdom statement on Zanzibar elections

The United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland is deeply concerned by the announcement of the Chairman of the Zanzibar Electoral Commission to nullify the elections. We note that all the international observers were impressed by the quality of the electoral process they witnessed. We call on ZEC to resume the results tabulation process without delay.

We congratulate the people of United Republic of Tanzania on the peaceful and enthusiastic way in which they participated in their elections.We call on all political actors to seek a solution which respects the will of the Zanzibari people as expressed in the polls on 25 October.

The United Republic of Tanzania has a well deserved reputation for peace and stability and respecting democratic principles. We urge all Zanzibaris to maintain peace and we commend the restraint they have shown so far.

KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment