Monday, October 26, 2015

NCHINI ZANZIBAR VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAKISUBIRI MATANGAZO YA MGOMBEA URAIS WA NCHI YA ZANZIBAR


Viongozi wa Chama cha wananchi CUF wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri kutangaza kwa Matokeo ya Urais wa nchi ya Zanzibar. 

Viongozi wa Chama cha CCM wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri matokeo ya Kura za Wagombea Urais wa Zanzibar kutangazwa.
 
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment