Friday, October 23, 2015

NCHINI ZANZIBAR WAKE WA VIONGOZI CCM WAMECHACHA KUWATAFUTIA WAUME ZAO KURA JE WAKE WA WAZANZIBARI NA WAKE WA MASHEIKH WALIO FUNGWA JELA NA WAUME ZENU KWA UCHU WA KUBAKI MADARAKANI MNAWAMBIYAJE....???

SIKU YA KIYAMA KUTAKUWA NA MAMBO SIO MCHEZO

MNAOMBA DUWA ILI DUNGU ZETU NA MASHEIKH WETU WALIO PELEKWA NA WAUME ZENU KATIKA JELA ZA NCHI YA TANGANYIKA WARUDISHWE NCHINI ZANZIBAR NA WAO WAKAISHI NA WAKE ZAO,WATOTO WAO NA FAMILIA ZAO...??? AU MNAOMBA DUWA WAUME ZENU WAPATE TENA MADARAKA YA KIDHALIMU NA KUENDELEZA UDHALIMU WAO....??? WAKULASHAINI AKHASWAINAHU KITABA HII NI AYA M.MUNGU ANAWAKUMBUSHA WATU WOTE KUWA KILA MNALOFANYA AU KUSEMA LIMENDIKWA KATIKA VITABU VYENU NA SIKU YA KIYAMA MUTAULIZWA KUHUU HAYO MULIYOSEMA NA MNAYO FANYA JITARISHENI NA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO HAKUNA TENA UKEREKETWA,MASKANI,POSHO ZA BURE,KANGA NA VITENGE VYA BURE WALA CCM OYEEE.

KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment