Tuesday, October 27, 2015

NCHINI ZANZIBAR WAATHIRIKA WALIO PIGWA RISASI NA VIKOSI VYA SMZ WATAKA USHAURI WA JINSI GANI WATAMFIKISHA WAZIRI WA VIKOSI VYA SMZ HAJI OMAR KHERI KATIKA MAHAKAMA ZA JINAI

Haji-Omar-Kheri
Waziri wa Vikosi vya Smz Haji Omari Kheri
Afbeeldingsresultaat voor waficha nyuso
KUNDI LAKE ANALOLITUMIA KWA KUWAPIGA NA KUWAUWA WAZANZIBARI
00260289 57ba0b2c050a46c0c973442bc25cbf9e arc614x376 w1080
12190038_10205263573132780_8067397132018384983_n
12079538_10205263573212782_1002409622269273343_n
Waziri wa Vikosi vya Smz Haji Omari Kheri
Wananchi wa Zanzibar wamekua wakilalamikia Serekali ya Zanzibar Smz na Vikosi vyake vya Smz kutumia nguvu kubwa dhidi ya raia wasio na hatia yoyote kwa kupigwa risasi za moto,minyororo mapanga na marungu yavichwa. Na hali hii imenugunikiwa kua chama tawala cha ccm kinavitumia vikosi vya Smz chini ya Waziri wake Haji Omari Kheri kuamrisha kutumika risasi za moto kupigwa raia kila ufikapo uchaguzi mkuu matokeo hayo yanatokea yakupigwa watu risasi ,Nondo, mapanga na marungu . Lawama hizo zote zimeelekezwa kwa Waziri wa vikosi vya Smz Haji Omari Kheri kutumia madaraka yake vibaya, hali hii imewafanya badhi ya Washirika wakubwa kuomba ushauri wa kisheria ili kumfikisha katika Mahakama za jinai za Uvunjaji wa Haki za Kibinadamu Waziri wa vikosi vya Smz huyo Haji Omari Kheri kutumia madaraka yake vibaya zaidi ya raia wa Zanzibar wasio na hatia yoyote na kutengeneza hofu ya wananchi wa nchi ya Zanzibar kila ufikapo uchaguzi mkuu. na vile vile kutumia vikosi hivyo Smz vilivyokua na mafunzo kua na makundi ya kigaidi zidi ya kuwahujumu raia wa Zanzibar kwa kuvaa nyuso za bandia kama vile masks za uso, kwa luha nyingine ninja na kupigwa watu minyororo , mapanga na marungu ya kichwa.
Wananchi wa Zanzibar wamepoteza imani yao na serekali ya Smz na vikosi vyake vya Smz ambavyo vilitakikana viwe ni walizi wao na mali zao na sio kuwa maduwi wao wenye kujenga hali ya hofu zidi ya raia kwa utashi wa kisiasa kila ufikapo uchaguzi mkuu Zanzibar. Wananchi wa Zanzibar wanasema wamechoka na kuishi katika mazingira ya hofu yanayo tiwa na vikosi hivi kwa itikadi za kisiasa kwa kutumiwa na viongozi wavyama vya siasa kukandamiza haki za binadamu . Tayari badhi ya washirika wanakwenda mbio kwa maloya wa kujitegemea ili kupata ushauri wa kisheria wanze mchakato wa kukusanya pesa na kupeleka maombi yao mbele ya mahaka za jinai zenye kujali haki za kila mwanadamu kuwa na haki yakuishi bila woga au kuonewa . Tunawaomba wazanzibar wote wandani na wanje ya nchi watusaidie na watowe michango yao kwa hali na mali kifedha na kiushauri wakati ukifika ili swala hili tulihitimishe liwe kikomo ? tuwafikishe wale wote mbele ya vyombo vya kimataifa ili hali hii ya kuiishi kwa hofu iishe mara moja hapa nchini petu Zanzibar.
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment