Sunday, October 25, 2015

NCHINI ZANZIBAR/TANGANYIKA MABOX YA KURA FEKI YA SHIKWA NDIO MAANA CCM WAKASEMA PIGENI KURA MKALALE KUMBE MPAGO WAO NDIO
HII IMERIPOTIWA KUTOKA MOSHI KURA FEKI ZA KAMATWA NA WANANCHI


HII IMEROPOTIWA KUTOKA PEMBA MABOX YA KURA FEKI YASHIKWA NA WANANCHI
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment