Thursday, October 22, 2015

VIDEO-CCM MTAMSHINDA STALIN,GADDAF AU IDDI AMIN KWA KULAZIMISHA KUBAKI MADARAKANI NA MBONA WAMENGOKA ITAKUWA NYIEE CCM

MAJINA YA MADIKTETA 25 WALITHANI WATATAWALA MILELE
KAMA WANAVYO THANIA CCM

A Day in The Life of a Dictator (portrait of craziness in power) - Documentary
 KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment