Monday, October 12, 2015

VIDEO-NCHINI TANGANYIKA NEC YATAKA KUWAFANYIA WANANCHI KINI MACHO BAADA YA KUONA WANANCHI WOTE WANAMTAKA LOWASA NA SIO POMBE

Nchini Tanganyika Huku kukiwa na wasiwasi mkubwa kwa Vyama vya Upinzani kuhusu Daftari la wapiga kura kutokuwekwa hadharani ili vyama vya siasa kupata nafasi ya kulipitia, Vyama vilivyo ungana UKAWA wamekuwa na shaka kubwa kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC inashindwa kutoa hadharani Daftari la Wapiga kura kwa kua idadi walio sema watu wote walio andikishwa ni million 23 UKAWA wanapingana na hilo .

Tetesi hizo zinazidi kutia shaka kua tume wameshindwa kulitoa Daftari kwakua idadi waloandikisha ni ndogo lakini wanataka kutumia mwanya huo ili kuongeza idadi kwa kumpa ushindi wa bandia huyo Pombe Magufuli.

KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment