Thursday, October 22, 2015

VIDEO-PROPAGANDA YA NCHI YA TANGANYIKA KUWAULISHA WAZANZIBARI KATIKA VITA YA UGANDA

PART 1 VITA WALIVYO PELEKWA WAZANZIBARI
KULIWA BILA YA SABABU YOYOTE NA NCHI YA TANGANYIKA
NA MPAKA LEO MAJESHI WA ZANZIBAR HAWAJALIPWA.
PART 2 VITA WALIVYO PELEKWA WAZANZIBARI
KULIWA BILA YA SABABU YOYOTE NA NCHI YA TANGANYIKA
NA MPAKA LEO MAJESHI WA ZANZIBAR HAWAJALIPWA.
 KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment