Wednesday, November 18, 2015

KESHO NDIO KESHO MAANDAMANO NCHINI UENGEREZA SOTE TUJITOKEZE KWA WINGI

maandamano

Maandamano! Ikilia ya Mgambo ujuwe kuna Jambo

Wana UKAWA, Watanganyika, Wazanzibari na wapenda demokrasia wote ulimwenguni tunakumbushia kesho ndio siku ya Maandamano ya kutaka hatma ya mkwamo wa kisiasa wa nchi yetu Zanzibar. Maamuzi ya wananchi yaheshimiwe kwa mustakbal na ukuaji wa demokrasia. Pia kutoa shukran zenu kwa serikali ya Uingereza kwa juhudi zake.
Maandamano yatafanyika mjini London, hapo Downing Street.
Shime tufike kwa wingi ili tuweze kufanikisha malengo yetu. Tafadhali mpatie taarifa hii kila atakayependa kushiriki.

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment