Sunday, November 8, 2015

KWA HERI MAPINDUZI NA ASP KARIBU MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA NA CCM UTAWALA WA GUVU ZA JESHI LA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA

WAMETUTOWA KATIKA UKOLONI
Tumewasaliti???
Mzee Karume
Mzee Hasnuu Makame
Sheikh Mohammed Shamte
Sheikh Ali Muhsin
Wakirudi kuitafuta Zanzibar Yenye Mamlaka Kamili
Leo Zanzibar ni koloni la Tanganyika
PLZ SHARE mpaka ifike kwa madalali walioiuza nchi yetu ya Zanzibar
WANA TUUZA KWA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA NA WANAFURAHIA TUNAVYO KANDAMIZWA NA MKOLONI MWEUSI  TANGANYIKA KWA JILI YA KUJAZA MATUMBO YAO

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment