Thursday, November 19, 2015

MWANASHERIA WA NCHI YA TANGANYIKA ASEMA SHEIN NI RAIS HALALI AHALALISHA HARAMU KUWA SASA NI HALALI MAGUFULI MWANASHERIA ASHANZA KUKUPAKA MAVI


MWANA SHERIA WA NCHI YA TANGANYIKA MASIKI KUMBE NA YEYE PIA KICHWA CHA SAMAKI UNA APAA KATIKA BIBILIA HUKU UNASEMA UWONGO UNATAKA KUHALALISHA HARAMU INAONYESHA HATA SHERIA HUJUWI NDIO NIMEKUWEKEA VIDEO HIZI MBILI ZIKUPE ELIMU YA BURE YA SHERIA USIONE HAYA ELIMU NI ELIMU HATA YA UZEENI NI ELIMU ANGALIA VIDEO HIZI UELIMIKE NA UIJUWE KATIBA YA NCHI YA ZANZIBAR INASEMAJE DADA MUELIMISHE HUYUUUU
WANASHERIA WA NCHI YA ZANZIBAR
KAKA MUELIMISHE HUYUUU
WASOMESHENI WASOMESHANI HAO MABUNJU WA KICCM

Mwanasheria mkuu wa serikali ya Jamuhuri ya Tanganyika, George Masaju atii amepinga hoja  zilizoibuliwa na UKAWA kuhusu uhalali wa Shein anaye chutama katika ikulu ya nchi ya Zanzibar kuhusu, Shein, kuhudhuria kwenye uzinduzi wa Bunge la nchi ya Tanganyika huko Giningi Dodoma.Masaju ametumia ibara ya 102 ya katiba ya jamhuri ya muungano feki wa Tanganyika na Zanzibar kupangua hoja hizo  ambayo inaeleza kuwa, kutakuwa na serikali ya Zanzibar itakayo julikana kama serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ambayo itakuwa na mamlaka katika Zanzibar juu ya mambo yote yasiyo mambo ya muungano kwa mujibu wa masharti ya katiba hii.Pia ametumia ibara ya 103 ibara ndogo ya kwanza ya katiba ya jamhuri inayosema kuwa, kutakuwa na kiongozi wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ambae ndiye atakuwa rais wa Zanzibar na mkuu wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na vilevile mwenyekiti wa baraza la mapinduzi.

Baada ya Ibara hizo, akajielekeza kwenye katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 katika Ibara yake ya 26 ambayo inasema, kutakuwa na rais wa Zanzibar ambae atakuwa mkuu wa nchi ya Zanzibar, kiongozi wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi.Hali kadhalika akanukuu Ibara ya 27 ambayo inaeleza namna rais wa Zanzibar atakavyo patikana ambayo inasema kwamba, rais atachaguliwa kufuatana na katiba hii na kwa mujibu wa sheria yoyote itakayotungwa na baraza la wawakilishi kuhusu uchaguzi wa rais na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi na uchaguzi wa rais utafanyika katika tarehe itakayowekwa na tume ya uchaguzi (ikiwa na maana ya ZEC).Aidha, alinukuu Ibara ya 28 (a) ya katiba ya Zanzibar ambayo inaeleza kwamba, kufuatana na katiba hii, mtu ataendelea kuwa rais mpaka:a) Rais anaefata ale kiapo cha kuwa rais. Baada ya hoja hizo akahitimisha kwa kusema, kwa kuwa tayari tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imefuta uchaguzi,((KABLA HUJAENDELEA NA KWENDA MBELE WEWE BUNJU KICHWA CHA SAMAKI HEBU TUAMBIYE ZEC IMEFUTA LINI UCHAGUZI..? NA KAMA WAMEFUTA WAMETUMIA SHERIA IPI AU KIFUNGU KIPI CHA KATIBA KUFUTA UCHAGUZI WA NCHI YA ZANZIBAR....? BLA BLA BLA HATUKO KATIKA KLABU YA POMBE YA CHIBUKU WALA POMBE YA KONYAGI.

TULIO KUWEPO HAPA NCHINI ZANZIBAR HATUKUSIKIA ZEC KUFUTA UCHAGUZI BALI ALIYE FUTA UCHAGUZI NI JECHA HAYA WEWE BUNJU KICHWA CHA SAMAKI MWANASHERIA WA NCHI YA TANGANYIKA TUPE SHERIA AU KIFUNGU KATIKA KATIBA YA ZANZIBAR KINACHO SEMA JECHA ANA UWEZO WA KUFUTA UCHAGUZI...? na kwa kuwa tayari tume hiyo imetangaza tarehe ya kufanyika uchaguzi mkuu mwingine visiwani Zanzibar,((TAREHE LINI TUME IMETANGAZA KUWA KUNA TAREHE KATHA KATHA UCHAGUZI UTARUDIWA WEWE MLEVI KWELI HAYA TUPE BASI NA SISI HIYO TAREHE TUIJUWE MAANA WAZANZIBARI MPAKA SASA HATUJUWI KITU KUHUSU TAREHE TUNACHOJUWA VIONGOZI WETU WANAVIKAO VYA SIRI KUBE WEWE KICHWA CHA SAMAKI UNA MPAKA TAREHE YA UCHAGUZI KURUDIWA HAYA TUAMBIYE NI TAREHE IPI...?? na kwa kuwa hakuna mtu yeyote alieapa kiapo cha urais tofauti na rais wa sasa wa Zanzibar, Dkt Shein. Hivyo Dkt Shein anatambulika kama rais wa Zanzibar na ana uhalali wote wa kuhudhuria katika uzinduzi wa Bunge la 11. ((MUNAHALALISHA HARAMU KWA KUJINUFAISHA MUTAUMIYA VIBAYA NYINYI MUNAUMBUKA HUKU HAMJIONI KAMA MUNAUBUKA))

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment